Kuweka au kuondoa ufikiaji wa chaneli yako ya YouTube kwa kutumia ruhusa za chaneli

Ikiwa una Akaunti ya Biashara, badilisha utumie kipengele cha ruhusa za chaneli ili uweke au uondoe ufikiaji wa chaneli yako ya YouTube badala yake.  Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuhamia kwenye kipengele cha ruhusa za chaneli.

Kwa kutumia ruhusa za chaneli, unaweza kuwapatia watu wengine idhini ya kufikia data, zana na vipengele vya chaneli yako kwenye YouTube na Studio ya YouTube, kupitia viwango vitano tofauti vya ufikiaji. Watu wengi wanaweza kudhibiti chaneli yako bila kuwa na idhini ya kufikia Akaunti yako ya Google. Wanaweza kudhibiti chaneli yako moja kwa moja kwenye YouTube au katika Studio ya YouTube, kwenye kompyuta au kifaa cha mkononi. Kumpatia mtu ruhusa:

  • Ni salama zaidi kuliko kumpatia nenosiri au maelezo mengine nyeti ya kuingia katika akaunti yako.
  • Hukuwezesha kubainisha kiwango chake cha idhini ili uweze kuwa na udhibiti zaidi wa anayeweza kuangalia au kusasisha chaneli yako.

Ruhusa za Kituo katika Studio ya YouTube: Alika Watu ili Wakusaidie Kudhibiti Kituo Chako

Aina za majukumu ya ruhusa za chaneli

Jukumu

Vipengele vinavyotumika

Vipengele visivyotumika

Mmiliki

Anaweza kufanya kila kitu kwenye mifumo yote, ikiwa ni pamoja na:

  • Kufuta chaneli
  • Kudhibiti mitiririko mubashara na gumzo la moja kwa moja
  • Kudhibiti ruhusa
  • Anaweza kuunganisha akaunti za Google Ads
  • Hawezi kuhamishia umiliki kwa watumiaji wengine

Msimamizi

  • Anaweza kuona data yote ya chaneli
  • Anaweza kudhibiti ruhusa (katika Studio ya YouTube)
  • Anaweza kubadilisha maelezo ya chaneli
  • Anaweza kudhibiti mitiririko mubashara
  • Anaweza kuunda, kupakia, kuchapisha na kufuta maudhui (ikiwa ni pamoja na rasimu)
  • Anaweza kupiga gumzo au kudhibiti gumzo ndani ya Ukurasa wa kudhibiti utiririshaji wa moja kwa moja
  • Anaweza kuchapisha machapisho
  • Anaweza kutoa maoni
  • Anaweza kuunganisha akaunti za Google Ads
  • Hawezi kufuta chaneli

Mhariri

  • Anaweza kuona data yote ya chaneli
  • Anaweza kubadilisha kila kitu
  • Anaweza kupakia na kuchapisha maudhui
  • Anaweza kudhibiti mitiririko mubashara
  • Anaweza kufuta rasimu
  • Anaweza kupiga gumzo au kudhibiti gumzo ndani ya Ukurasa wa kudhibiti utiririshaji wa moja kwa moja
  • Anaweza kuchapisha machapisho
  • Anaweza kutoa maoni
  • Anaweza kuunganisha akaunti za Google Ads
  • Hawezi kufuta chaneli au maudhui yaliyochapishwa
  • Hawezi kudhibiti ruhusa
  • Hawezi kusaini mikataba
  • Hawezi kufuta mitiririko iliyoratibiwa/mubashara/iliyokamilika
  • Hawezi kufuta au kubadilisha funguo za mtiririko

Mhariri (Idhini Chache)

  • Ruhusa sawa kama za Mhariri
  • Vikwazo sawa kama vya Mhariri
  • Hawezi kufikia data ya mapato (ikiwa ni pamoja na mapato ya gumzo na kichupo cha shughuli ya utazamaji)
Mhariri wa Manukuu
  • Anaweza kuongeza, kubadilisha, kuchapisha na kufuta manukuu kwenye video zilizotimiza vigezo
  • Vikwazo sawa kama vya Mhariri
  • Hawezi kubadilisha chochote (isipokuwa manukuu ya video)
  • Hawezi kufikia data ya mapato (ikiwa ni pamoja na mapato ya gumzo na kichupo cha shughuli ya utazamaji)
  • Hawezi kupakia na kuchapisha maudhui (isipokuwa manukuu ya video)
  • Hawezi kudhibiti mitiririko mubashara
  • Hawezi kufuta rasimu
  • Hawezi kupiga gumzo au kudhibiti gumzo ndani ya Ukurasa wa kudhibiti utiririshaji wa moja kwa moja
  • Hawezi kudhibiti mitiririko mubashara
  • Hawezi kufuta mitiririko iliyoratibiwa/mubashara/iliyokamilika
  • Hawezi kupiga gumzo au kudhibiti gumzo ndani ya Ukurasa wa kudhibiti utiririshaji wa moja kwa moja
  • Hawezi kuona data yote ya chaneli

Mtazamaji

  • Anaweza kuona (lakini si kubadilisha) maelezo yote ya chaneli
  • Anaweza kutunga na kubadilisha vikundi vya Takwimu za YouTube
  • Anaweza kuona data ya mapato (ikiwa ni pamoja na mapato ya gumzo na kichupo cha shughuli ya utazamaji)
  • Anaweza kuona/kufuatilia mitiririko iliyotengenezwa, kabla haijatiririshwa mubashara na wakati inatiririshwa mubashara
  • Anaweza kuona mipangilio yote ya mtiririko isipokuwa ufunguo wa mtiririko
  • Hawezi kudhibiti mitiririko mubashara
  • Hawezi kufuta mitiririko iliyoratibiwa/mubashara/iliyokamilika
  • Hawezi kupiga gumzo au kudhibiti gumzo ndani ya Ukurasa wa kudhibiti utiririshaji wa moja kwa moja

Mtazamaji (Idhini Chache)

  • Ruhusa sawa kama za Mtazamaji
  • Vikwazo sawa kama vya Mtazamaji
  • Hawezi kufikia data ya mapato (ikiwa ni pamoja na mapato ya gumzo na kichupo cha shughuli ya utazamaji)

Vitendo vinavyotumika

Kumbuka: Baadhi ya vitendo huenda visipatikane kabisa wakati mtu amekabidhiwa jukumu.
Aina Kiwango cha idhini / Vitendo vya umma Studio ya YT kwenye kompyuta Programu ya Studio ya YT YouTube
Udhibiti wa ruhusa mahususi Jukumu la msimamizi
Jukumu la mhariri
Jukumu la Mhariri (Idhini Chache)
Jukumu la kuangalia tu
Jukumu la Mtazamaji (Idhini Chache)
Jukumu la kuangalia tu
Udhibiti wa video Kupakia video / Video Fupi
Kutayarisha Video Fupi
Kuelewa utendaji wa video katika Takwimu za YouTube au Takwimu za Msanii
Kudhibiti video (metadata, uchumaji wa mapato, uonekanaji)
Kutunga orodha ya kucheza
Kuweka video kwenye orodha iliyopo ya umma
Kudhibiti orodha za kucheza
Kutiririsha mubashara kama chaneli
Manukuu, kushiriki video kwa faragha
Usimamizi wa chaneli Kuweka mapendeleo au kudhibiti ukurasa wa kwanza wa chaneli
Kushiriki kwa jumuiya Kutunga chapisho
Kudhibiti Machapisho ya jumuiya, ikiwa ni pamoja na kufuta machapisho
Kufuta machapisho ya Jumuiya [Msimamizi pekee] [Msimamizi pekee]
Kujibu maoni kama chaneli kwenye Studio ya YouTube
Kutoa maoni na kuwasiliana kupitia maoni kwenye video za chaneli nyingine kama chaneli
Kutumia Gumzo la Moja kwa Moja kama chaneli
Mahususi kwa wasanii Vipengele vya Chaneli Rasmi ya Msanii (kama vile, matamasha)
Tumia kichupo cha Matoleo [Wamiliki, wasimamizi, wahariri na wahariri (idhini chache)]

Shughuli za umma ikilinganishwa na za faragha kwenye YouTube

Wakati mtu amekabidhiwa jukumu katika chaneli moja kwa moja kwenye YouTube, kuna tofauti kati ya vitendo vya umma na vya faragha.

  • Vitendo vya umma: Waliokabidhiwa jukumu wanaweza kufanya vitendo hivi kwa ajili ya mmiliki wa chaneli na kitendo kitahusishwa na chaneli hiyo.
    • Vitendo vya umma vimeorodheshwa kwenye jedwali lililo hapo juu.
  • Vitendo vya faragha: Waliokabidhiwa jukumu hufanya vitendo hivi kama akaunti zao binafsi ambazo wametumia kuingia.
    • Vitendo vya faragha ni pamoja na kutafuta, kutazama video na ununuzi. Pata maelezo zaidi.

Viashiria vya video vitasaidia watumiaji waliokabidhiwa jukumu kufahamu jinsi kitendo kinavyohusishwa.

Kutoa uwezo wa kufikia chaneli yako kwa kutumia ruhusa

Iwapo una Akaunti ya Biashara, ni lazima kwanza uhamie kwenye kipengele cha ruhusa za chaneli.

Kuweka uwezo wa kufikia kwenye kompyuta

  1. Nenda kwenye studio.youtube.com.
  2. Kwenye upande wa kushoto, bofya Mipangilio.
  3. Bofya Ruhusa.
  4. Bofya Alika na uweke anwani ya barua pepe ya mtu ambaye ungependa kumwalika.
  5. Click Access and select the role you’d like to assign to this person from the table below.
  6. Bofya Nimemaliza.
    • Kumbuka: Mwaliko ukishatumwa, muda wa kuukubali utaisha baada ya siku 30.

Kuondoa ufikiaji wa chaneli yako

  1. Nenda kwenye studio.youtube.com.
  2. Kwenye upande wa kushoto, bofya Mipangilio.
  3. Bofya Ruhusa.
  4. Nenda kwenye mtu ambaye ungependa kumwondoa na kisha ubofya kishale cha Chini.
  5. Chagua jukumu jipya au bofya Ondoa uwezo wa kufikia.

Kumbuka: Ruhusa za chaneli bado hazitumiki katika baadhi ya sehemu za YouTube. Ingawa mmiliki anaweza kufikia vipengele hivi, watumiaji walioalikwa hawawezi kufikia:

  • YouTube Music
  • Programu ya YouTube Kids
  • API za YouTube

Vitendo vya faragha kwenye YouTube

Vifuatavyo ni vitendo vinavyochukuliwa kuwa vya faragha na vinaweza kuhusishwa na akaunti ya binafsi ya wanaokabidhiwa jukumu:

Udhibiti wa video

Jumuiya kushiriki

  • Kuweka alama ya imenipendeza, alama ya kutopendezwa au kupiga kura kwenye chapisho.

Curation/consumption

  • Searching for content or accessing search history.
  • Watching a video or accessing watch history.
  • Blocking users on channel.
  • Viewing subscriptions.
  • Purchases (for example: Movies and Shows, Premium).
  • Historia ya ununuzi.

Kutafuta maelezo ya mmiliki wa chaneli

Kutafuta jina na anwani ya barua pepe ya mmiliki wa kituo kwenye kompyuta

Ikiwa unadhibiti kituo, unaweza kupata jina na anwani ya barua pepe ya mmiliki wa kituo. Huenda ukahitaji maelezo haya, kwa mfano, ili umwombe afanye uthibitishaji wa kituo chake kwa nambari ya simu ili uweze kufikia vipengele fulani.

Kumbuka: Ni wasimamizi na mmiliki tu wanaoweza kuona majina na anwani za barua pepe za watu ambao wana idhini ya kufikia chaneli.
  1. Nenda kwenye studio.youtube.com
  2. Bofya Mipangilio kisha Ruhusa.
  3. Utaona jina na anwani ya barua pepe ya kila mtu aliye na uwezo wa kufikia chaneli hii.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
3484922829395064315
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false