Arifa

Hivi majuzi tulitangaza mabadiliko kwenye kurasa za uchapishaji. Tafadhali soma hapa ili upate maelezo zaidi.

Matangazo

  1. Taarifa kuhusu kurasa za uchapishaji

    Imechapishwa tarehe: 25 Aprili, 2024

    Kuanzia leo, wachapishaji hawawezi tena kuweka machapisho kwenye Kituo cha Wachapishaji. Tunafanya nabadiliko haya kama sehemu ya kuhamia kwenye usambazaji wa kurasa za uchapishaji zilizoundwa kiotomatiki baadaye mwaka huu. Je, hatua zipi zinafuata kuhusiana na kurasa za uchapishaji? Kwa kuweka chapisho kwenye Kituo cha Wachapishaji, wachapishaji waliweza kuunda wenyewe kurasa za chanzo ili watumiaji wazifuatilie. Wachapishaji walio na kurasa za uchapishaji walizounda wenyewe wataendelea kufikia vipengele vya uwekaji mapendeleo hadi baadaye mwaka huu, wakati kurasa zitaanza kuundwa kiotomatiki…
    Read more
  2. Masasisho ya usogezaji katika Kituo cha Wachapishaji

    Sasa ni rahisi kusogeza katika Kituo cha Wachapishaji. Kubadilisha kati ya machapisho na mashirika Ili ubadilishe kati ya machapisho kwenye Kituo cha Wachapishaji, katika sehemu ya juu kulia, chagua menyu kunjuzi ya Chapisho. Ili ubadilishe kati ya mashirika kwenye Kituo cha Wachapishaji, katika sehemu ya juu kulia, chagua menyu kunjuzi ya Shirika. Ili ufikie mipangilio ya Chapisho kwa haraka, unaweza pia kubofya menyu kunjuzi ya Chapisho Mipangilio . Kubadilisha kati ya bidhaa na kurudi kwenye ukurasa wa kwanza Ili ubadilishe kati ya bidhaa, bofya Bidhaa . Ili usogeze kwenye ukurasa wa kwanza…
    Read more
  3. Huduma za Google News zinarejea nchini Hispania

    Imechapishwa tarehe: 27 Juni, 2022

    Baada ya kutopatikana kwa takriban miaka nane, Google News imerejea nchini Hispania. Hatua hii inatokana na sheria mpya ya hakimiliki na tunatumaini kwamba kurejea kwa Google News nchini Hispania husaidia watu wengi wapate habari zaidi, kutoka sehemu nyingi zaidi na husaidia wachapishaji wapate wasomaji wapya. Pata maelezo zaidi kuhusu Google News nchini Hispania.
    Read more
  4. Tumia Google News iliyoboreshwa maalum kwa kompyuta ya mezani

    Imechapishwa tarehe: 26 Juni, 2022

    Tumeboresha Google News kwenye kompyuta ya mezani kulingana na maoni tuliyopokea kutoka kwa wasomaji wetu. Sasa ni rahisi kupata habari muhimu zaidi zenye taarifa Maarufu, habari za eneo ulipo na chaguo zilizowekewa mapendeleo katika sehemu ya juu ya ukurasa. Pata maelezo zaidi kuhusu mwonekano mpya wa Google News.
    Read more
  5. Kurahisisha udhibiti maudhui kwenye Google News

    Hivi majuzi tuliongezaidadi ya mara ambazo tunaunganisha kwenye maudhui ya wavuti yasiyo ya AMP (yaani kurasa zako za wavuti) katika mifumo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na programu ya Google News, kama sehemu ya sasisho la utumiaji wa ukurasa. Kutokana na mabadiliko haya, hatutatoa tena maandishi ya makala yanayotolewa katika RSS na mipasho ya Atom kwa njia ya moja kwa moja katika programu ya Google News. Badala yake, tutawatuma wasomaji moja kwa moja katika kurasa za wavuti za wachapishaji. Kwa hivyo, ili kusaidia kurahisisha udhibiti wa maudhui yako kwenye Google News, tutaondoa utendaji kati…
    Read more
  6. Usasishaji wa Kituo cha Wachapishaji

    Kituo cha Wachapishaji kimesasishwa ili kufanya hali ya utumiaji iwe rahisi na inayoeleweka zaidi. Sehemu mpya inayojulikana kama “Mipangilio ya chapisho” inaruhusu watumiaji kubadilisha maelezo ya jumla kama vile jina la chapisho, URL na nembo katika sehemu moja. Machapisho na sera za Google News hazijabadilika.
    Read more
  7. News Performance report in Search Console

    Date published: January 12, 2021

    Search Console will launch News Performance reports to help you understand how your site performs on Google News platforms. The report shows data from news.google.com, and from the Google News app on Android and iOS. It does not include the "News" tab in Google Search, which is covered in the Performance report for Search, filtered to the News search type. Learn more about News Performance reports in Search Console. Visit the blog post.
    Read more
  8. Kuzindua kituo hiki kipya cha mawasiliano

    Tarehe 12 Oktoba 2020

    Tunazindua kichupo cha Matangazo kwenye Kituo cha Usaidizi kwa Wachapishaji wa Habari ili kuendelea kuwafahamisha wachapishaji kuhusu habari mpya zaidi kuhusu Kituo cha Wachapishaji na Google News. Utaweza kusoma taarifa hizi katika lugha zote zinazopatikana kwa sasa kwenye sehemu ya menyu kunjuzi chini ya ukurasa wa Kituo cha Usaidizi kwa Wachapishaji wa Habari. 
    Read more
false
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
9563665641778775780
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
100499
false